Tuesday, September 30, 2014

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani



Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka.

Baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika barabara ya Ocean Road kulekea maeoneo ya Coco Beach wakitokea makao makuu ya beni hiyo katika Tawi la Corporate, Posta Mpya.

Wafanyakazi hawa wa NBC wakiendelea na matembezi hayo ili kupata fedha kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo.


 Baada ya kumaliza matembezi hayo wafanyakazi hao wakipiga picha ya pamoja kuonyesha ushindi na mshikamano wao katika kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya magonjwa ya moyo.  

Related Posts:

  • Tanzanian Government Urged to Set Marriage Age Campaigning for a child marriage-free Tanzania. Child marriage in Tanzania limits girls' access to education and exposes them to serious harms, Human Rights Watch said in a report released today. Human Rights Watch d… Read More
  • Lake Zone schools top Std Seven exam Even though the individual school honours went to the Lake Zone, Dar es Salaam came first in the overall regional ranking followed in second position by Kilimanjaro and Mwanza in third position.  Eight private scho… Read More
  • Govt’s new strategy on health workers The government is working to redraft its policy to allow the direct employment of health workers to curb the existing staff shortage unlike the current situation where they have to apply for the vacancies. Based… Read More
  • Shule Direct is now available on Internet.org  Facebook Head of Growth and Partnerships Mr. Nahid Hirji, and Tigo Head of Data and Devices Mr. David Zacharia. (sitting from left)   (from left standing)  Shule Direct Chief Technical … Read More
  • Medical supplies dry over huge debt Sikika executive director Irenei Kiria addresses the media in Dar es Salaam yesterday. Alarm was raised yesterday over a looming crisis in the health sector, for the supply of medicine to public hospitals could dry up… Read More

0 comments:

Post a Comment