Thursday, September 11, 2014

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI DAR


????????Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi(kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani yashilingi milioni 4.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwaMwakilishi wa Afisa Elimu ya Sekondari Manispaa ya Temeke, YasinthaKayoza kwa niaba ya shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvuti naKambangwa katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari yaMbagala jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Shule yaSekondari ya Mbagala, Mwalimu Marcelina Kimario.????????Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi(mwenye miwani), akiangalia moja ya vitabu vya masomo ya sayansi baadaya kuvikabidhi vitabu vyenye thamani ya milioni 4.5/-,  kupitia Mradiwa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvutina Kambangwa katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari yaMbagala jijini Dar es Salaam jana.


????????Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi(kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani yamilioni 1.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa Mkuu wa Shuleya Sekondari ya Mbagala, Mwalimu Marcelina Kimario katika haflailiyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana. Sekondarinyingine zilizokabidhiwa vitabu hivyo ni pamoja na Mvuti na Kambangwa.Kushoto ni Mwakilishi wa Shule ya Sekondari Kambangwa, Mwalimu SueibaMfinanga.????????Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala wakifurahia vitabu vyamasomo ya sayansi, baada ya Kampuni ya Airtel kupitia Mradi wake wa‘Shule Yetu’ kukabidhi vitabu hivyo vyenye thamani ya milioni 4.5/-kwa shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvuti na Kambangwa katikahafla iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.

0 comments:

Post a Comment