Wednesday, March 18, 2015

Tanga Cement yatoa msaada kwa wahanga wa mafuriko Kahama.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufuga (katikati) akipokea sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 17 kutoka kwa Meneja Biashara wa Kampuni ya Saruji Tanga (Tanga Cement Plc), Mattheus Roos vilivyotolewa  na kampuni hiyo kusaidia waathirika wa mvua ya mawe iliyotokea wilayani Kahama hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika wilayani humo juzi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya.

Meneja Mawasiliano ma Huduma za Jamii wa Tanga Cement Plc, B. Mtanga Noor (kushoto) akizungumza wakati wakikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 17 kwa ajili ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea wilayani Kahama hivi karibu. Hafla hiyo ilifanyika Kahama, Shinyanga juzi.  Kushoto kwake ni Meneja Biashara wa Tanga Cement, Mattheus Roos na Meneja Mauzo Taifa wa kampuni hiyo, Leslie Massawe na baadhi ya wafanyakazi wenzao.

Related Posts:

  • “Ageing well” must be a global priority A major new Series on health and ageing, published in "The Lancet", warns that unless health systems find effective strategies to address the problems faced by an ageing world population, the growing burden of chronic … Read More
  • Climate Change Conference Kicks Off in Dar es Salaam Some of the world’s leading experts on Climate Change have joined the country’s decision makers and opinion leaders gathered today in Tanzania’s business capital to participate in a major two-day conference to deliberat… Read More
  • Why chronic diseases top list of major killers in TZ Priority should be given to developing and implementing preventive interventions based on an action plan for the NCD strategy, bearing in mind interventions that have been shown to be effective Despite a wide range of p… Read More
  • Lake Zone schools top Std Seven exam Even though the individual school honours went to the Lake Zone, Dar es Salaam came first in the overall regional ranking followed in second position by Kilimanjaro and Mwanza in third position.  Eight private scho… Read More
  • Tanzanian Government Urged to Set Marriage Age Campaigning for a child marriage-free Tanzania. Child marriage in Tanzania limits girls' access to education and exposes them to serious harms, Human Rights Watch said in a report released today. Human Rights Watch d… Read More

0 comments:

Post a Comment