Monday, December 1, 2014

AIRTEL YAFANYA MATEMBEZI YA HISANI NA KUKABIDHI KISIMA CHA MAJI SAFI SHULE YA MSINGI KUMBUKUMBU


Kampuni ya Airtel leo imeendesha matembezi ya hisani ili kuchangisha  pesa kwajili ya kuendelea kuboresha shule ya msingi kumbukumbu iliyopo jijini Dar es salaam 
Matembezi yenye lengo la kupata pesa ili kufanya ukarabati wa darasa la watoto na kununua viti na meza za kukalia yameetimishwa kwa uzinduzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Airtel kwa kushirikiana na wafanyakazi wake ili kukabiliana na tatizo la maji shule hapo
Akiongea wakati wa kuzindua kisima hicho mgeni rasmi , Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Benedict Missani kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya jamii  jinsia na watoto Mh. Sophia Simba alisema”  naunga mkono juhudi zilizofanywa na Airtel katika kuendelea kuboresha mazingara ya utoaji elimu shuleni hapa. Nimefurai kuona kuwa Airtel haikuridhika na ujenzi wa kisima hii tu bali wameamua kuchua hatua nyingine ya kushirikisha wadau mbalimbali katika kutatua changamoto walizoziona shuleni hapa.
Leo tumetembe kwa pamoja ili kuweza kuchangisha kiasi cha shilingi milioni 10 zitakazowezesha kazi ya kuendelea kuboresha mazingara ya shule hii kuendelea. 
Serikali inaunga mkono dhamira hii na jitihada hizi zinazoenda sambamba na kauli mbiu yetu ya “matokeo makubwa sasa”  na kuhakikisha tunaboresha maeneo muhimu hususani elimu kwani vijana hao ndio nguvu kazi na taifa la kesho. Natoa wito kwa mashirika mengine watu binafsi na taasisi mbalimbali kujitokeza na kuchangia katika shughuli za jamii ili kukubiliana na changamoto tulizo nazo sasa.
Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso alisema” nawashukuru wafanyakazi wa Airtel na kila moja aliyeshiriki hapa kwa kujitoa katika kusaidia jamii, sisi Airtel tumejipanga kutimiza dhamira yetu ya kuchangia katika kuhakiksha tunachangia katika sekta ya elimu kwa kuendelea kutoa vitabu na kuboresha mazingira ya shule. Kupitia mradi wa Airtel Shule yetu tumeweza kuzifika shule nyingi kwa kuwapatia nyenzo muhimu katika elimu na leo tumewafikia shule ya msingi kumbukumbu tukiwa na lengo na kuendelea kuboresha sekta ya elimu.
Mpango huu wa Airtel Tunakujali ni endelevu bado tutakuwa  shughuli nyingi zaidi na shule nyingi zikipokea misaada hivyo tunawaomba wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana nasi.
Mfanyakazi wa kitengo cha Mawasiliano bi.Getrude Shayo alisema” nia na madhumuni ya kuchagua shule ya msingi ya Kumbukumbu ni kuweza kuwasaidia watoto hawa ambao wapo jirani na sisi na kuwawezesha kukaa kwenye darasa lililoimara na mtazamo mzuri. Ukaribu wetu na shelu utatuwezesha kuweza kufwatilia maendeleo yao kwa umakini na ukaribu zaidi”.
Kwa upande wake mfanyakazi wa Airtel Bi Veneranda Boniface Alisema amejisikia furaha kutumia jumamosi yake kutembea kwaajili yakusaidia jamii, hii ni sehemu pia ya mazoezi lakini zaidi ni njia pekee ya kuniwezesha mimi kwa nafasi yangu katika jamii kushiriki kuchangia.
Nae mwananfunzi wa shule ya msingi Kumbukumbu….. aliongeza kwa kusema”tunawashukuru Airtel kwa kuweza kutuletea maji hapa shuleni kwani kwa sasa hatuna haja ya kutoka nje ya shule na kwenda kutafuta maji ya kunywa na kumwagilia maua yetu hapa shule. Hii inatusaidia tunapata muda mwingi wa kusoma na kupumzika pale tunapopata muda wa mapumziko”.
Matembezi hayo ya hisani yalianzia katika makao makuu ya Airtel yaliyoko Moroco Dar esaalam na kwenda njia ya Ali hassan Mwinyi, kupitia Kaunda, Bongoyo , haile selaile , Ali hassani Mwinyi na kuishia katika shule ya msingi Kumbukumbu.



3 comments:

  1. Its a pleasure for me to write this testimony about this wonderful thing that happened to me last week on how i got my HIV aids cured, i have been reading so-many post of some people who were cured of HIV, but i never believed them, I was hurt and depressed so I was too curious and wanted to try dr.odion then i contacted him on his email on babaodionhivcure@gmail.com, when i contact him, he assured me 100% that he will help me, i pleaded with him to help me out, its a great success that he really helped just as he promised me, he told me that in three days time that i should go for a check up and see the good result on my HIV status, I was floored that when i went to the hospital to check of my status that i was HIV negative, i never thought possible that dr.odion can do miracles thing for me, i never really believed in magic but I played along with a little hope and faith and after everything but dr odion changed my life and made me a true believer you can contact him on dr babaodionhivcure@gmail.com so he can help you out also,phone number+2349104244364.

    ReplyDelete
  2. Hi my name is Jessica and i live in California.This is a testimony i want to make.I was an HIV positive for 8 years taking anti retrovirus.As i was reading online some 5 months ago i saw a testimony on cure of HIV.I decided to give a try.Now as am telling you am very negative tested 4 times in 5 months after finishing mu cure.The cure is a pure herbs from Africa shipped to me through DHL.My cure took about 35 to 40 days.Dear brothers and sisters if you are out there,please the cure is out and rush to have yours.If you are interested,email the researcher using ekpikuspellhomeofgrace@gmail.com or ekpikuspellhomeofgrace@hotmail.com I will encourage every person who come across this mail to cure yourself if you are positive

    ReplyDelete
  3. Hello my Name is Joyce from UK, i want to share a testimony on how this great man called doctor Ekpiku help me, i was HIV positive and it was confirmed, i have been in several hospital but there was no cure, one day i was browsing through the Internet, I saw a testimony on how doctor Ekpiku from Africa help a man call Ajay Sam, so i contact him and i told him i have HIV, he told me to stop worrying myself, that he will help me to cast it out and that i should give him two days and he told me what to do and I did it. After two days he told me to go for a test that I’m cure, so i went to hospital, to my greatest surprise i was HIV negative, I’m the happiest woman in the world now, thank you Doctor Ekpiku, he is able to cure any type of disease. Contact he on Ekpikuspellhomeofgrace@gmail.com or Ekpikuspellhomeofgrace@hotmail.com.

    ReplyDelete