Sunday, February 8, 2015

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga uelewa kuhusiana na ugonjwa wa saratani mpango unaoendana na kauli mbiu ya mwaka huu ya Siku ya Saratani Duniani inayosema kuwa tatizo la saratani “lipo ndani ya uwezo wetu”.




Meneja masoko msaidizi wa Benki ya Exim, Bi. Anita Goshashy akishikana mikono na Dr. Livin Mumbari  Daktari wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, muda mfupi baada ya benki hiyo kukabidhi vifaa mbalimbali kwa watoto waliolazwa hospitalini hapo kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga uelewa kuhusiana na ugonjwa wa saratani mpango unaoendana na kauli mbiu ya mwaka huu ya Siku ya Saratani Duniani inayosema kuwa tatizo la saratani “lipo ndani ya uwezo wetu”.

Related Posts:

  • Breaking News: The Kili 2015 Heroes Made it to the World's Highest Free Standing Mountain!! They made it!  In the early hours of today, Thursday July 9, the team of 38 Climbers lead by Captain James Shilla Nzuamkende,  proudly arrived at the Uhuru Summit – World’s highest free standing Mount… Read More
  • The Kili Challenge Heroes Faces Day IV “Since the launch of the Kili Challenge in 2001, there has never been an incident where we had all the climbers reaching the summit, this year will be different, the team is eagerly to make it, the spirit is high, the att… Read More
  • Govt for more investment in food processing The permanent secretary in the ministry of agriculture, food security and cooperatives, Sophia Kaduma The government has called on investors to chip-in and invest in fruits and vegetable processing to add value to the … Read More
  • Students unveil key innovations Secondary school students in different regions have come up with 120 research findings meant to address various problems in their surroundings and the country in general. According to Young Scientists Tanzania (YST), … Read More
  • 22m treated nets coming Twenty-two million insecticide treated mosquito nets will be distributed countrywide next month by the Population Service International (PSI) through the Global Fund for Aids, Tuberculosis and  Malaria (GFATM)… Read More

0 comments:

Post a Comment