Monday, October 6, 2014

Menejiment ya NBC yakutana na Mheshimiwa Rais Ikulu leo.

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiwa na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa Mizinga Melu alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe.




Rais Jakaya Kikwete akishikana mikono na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Rukia Mtingwa (kushoto) wakati  Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Mizinga Melu (wa pili kushoto) alipokwenda Ikulu, Dar es Salaam kumuaga mheshimiwa rais. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Muda, Pius Tibazarwa na Meneja Mahusiano, William Kallaghe (kulia).


Rais Jakaya Kikwete akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa  NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) mara baada ya hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa, Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Mizinga Melu na  Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe.



Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Mizinga Melu (wa pili kushoto), alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Pius Tibazarwa na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi mkurugenzi wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.

Related Posts:

  • ICTR closes business after spending Sh3.4tr The mandate of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) ends in December, with the court having spent Sh3.4 trillion ($2 billion) to try about 50 genocide cases, or roughly $100 million annually. But wh… Read More
  • Climate Change Conference Kicks Off in Dar es Salaam Some of the world’s leading experts on Climate Change have joined the country’s decision makers and opinion leaders gathered today in Tanzania’s business capital to participate in a major two-day conference to deliberat… Read More
  • “Ageing well” must be a global priority A major new Series on health and ageing, published in "The Lancet", warns that unless health systems find effective strategies to address the problems faced by an ageing world population, the growing burden of chronic … Read More
  • Lake Zone schools top Std Seven exam Even though the individual school honours went to the Lake Zone, Dar es Salaam came first in the overall regional ranking followed in second position by Kilimanjaro and Mwanza in third position.  Eight private scho… Read More
  • Why chronic diseases top list of major killers in TZ Priority should be given to developing and implementing preventive interventions based on an action plan for the NCD strategy, bearing in mind interventions that have been shown to be effective Despite a wide range of p… Read More

0 comments:

Post a Comment